MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 9

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE    SEHEMU YA 9

Kwa upande mmoja nikahisi ni mchezo, ila kwa upande mwingine nikahisi ni kweli, huyo Bosco alikuwa ni rafiki yangu sana, sasa akazamiaga meli akaenda south Africa, na ile kiutoto utoto akanambia kuwa anaenda kutafuta maisha atarudi baada ya muda flani kunichukua nikaishi nae, akaenda kweli, nani miaka kama minne, sikuwah kumuona wala kumsikia, hivyo kuna namna nafsi yangu ikaanza kupata mashaka, nikajiambia kuwa kukipambazuka nitaenda. Kweli kumekucha nikanywa chai, kisha nikawa naangaza angaza kuangalia kama kaka mjeda yupo ila sikumuona, nikasema labda ameenda kwenye mambo yake, nikaona nimtumie sms ili asije akaanza kunihoji maswala yake na kunifokea fokea, nikatuma sms

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments