MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 8

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 8

Basi nikaanza kuwaza nifanye nini, kwanza nikajiambia kuwa nikaangalie ameacha shilling ngapi, nikakuta ameacha kama laki tatu hivi, nikaziangalia kisha nikatabasamu na kujiuliza “Kwani huyu anafanya haya yote kwa sababu ipi, kwa sababu anaonekana hana hisia na mimi, ila amekuwa kama malaika na nuru ya maisha yangu, kwanini anafanya hivi, au ndio malaika ambao amewatuma Mungu kuja kuonesha nuru kwenye maisha yangu? Nikawa najiuliza maswali ambayo binafsi hata sikuwa na majibu, ila nikajiambia kuwa “ atakuwa ananisaidia tu kama mdogo wake, natakiwa sasa nitafute na mimi mwanaume maana upwiru utakuja kuniua… Basi nikapika nikala, kisha nikatafuta zangu kiwalo, huwa ana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments