MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE SEHEMU YA 10

MR GENERAL : KUMBE ULINIPENDA EEE   SEHEMU YA 10

Kwanza alikuwa anakimbiza gari kama amechanganyikiwa vile, yaan wakati wote ambao tulikuwa kwenye gari nilikuwa nasali sana tusije tukapata ajali bure, na namshkuru Mungu tulifika salama, kitendo cha kuingiza gari ndani alikuja akanifungulia mlango kisha akaanza kunikokota, kana kwamba ameshamkamata muhalifu ambae alikuwa anamtafuta kwa kipindi kirefu sana …. Kuna muda akawa anaona kama namchelewesha, alinipiga taksi bega, kisha nashangaa ananiingiza chumban kwake, nikaanza kupata wasiwasi na kumuuliza “Unataka kufanya nini wewe… Hata hakunijibu, akaenda kufunga mlango kisha akasema “Utavua nguo mwenyewe au unataka nije kukuvua mimi… Nikaona sasa hichi kizaa zaa, nakuja kuliwa bila kutaka dakika za kuhesabu hapa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments