MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJILI EP 13

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJILI EP 13

Ile sauti ya Hemed na vile bado nilikuwa kitandani ukizingatia kimkojo kilikuwa kimenibana lolšŸ™ˆhamu tu ndo kitu nilikuwa nakisikiašŸ’‹ Akiongea mwili mzima ulikuwa unasisimka nabaki kugugumia kimya kimya kisauti sasa kama niko natiwa dudušŸ’‹šŸ’‹ Yeye mwenyewe alikuwa hoi taabani hahahaaaa nyieee mapenzi hayašŸ™ˆyani unaongea na mtu kwenye simu unasikia hisia mpaka unatamani ile kitu.. Hemed aliniomba nijiandae then anakuja kunichukua na aliniomba nivae nguo ya heshima😯😯😯mbona nguo ya heshima au unanipeleka ukwenišŸ˜‚ Akacheka akaniambia huenda huezi juašŸ˜‚šŸ˜‚nilimwambia sawa basi nitavaa ya heshima baba.. Baada ya kumaliza kuongea na wa rohoni niliamka na tabasamu murua nikaelekea washing room.. Nilikoga vizuri nikajiweka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments