MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️ SEHEMU YA 12

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️  SEHEMU YA 12

Nilijisikia tofauti sana🙈🙈 sijawahi kujihisi vile tangu nizaliwe💋💋💋nilitamani aendelee tu kunifanya vilee asiacheee❤️❤️❤️.. Mikono isivo na adabu bila kutarajia nami nilijikuta nimemshika Hemed kwa hisiaaaa💋💋💋 mkono mmoja shingoni mwingine nikawa nampapasa kichwani..tuliromance kwa muda tukiwa kwenye hisia kali💋💋 Tulifanya vile mpaka tukatosheka tulipoachiana kila mmoja alikuwa anatamani kitu kimoja tu hahaaaa Hemed alikuwa amesimamisha sana🙈🙈mimi sasa🙈🙈 huko kwenye pichu kulikuwa hakutamaniki🙈🙈 Nilifungua mlango wa gari haraka nikakimbilia ndani nilijua fika nikibakia pale mambo yataharibika🙈 Nimefanya nini Bella mimi😴😴hivi nimewezaje kumshika kwa mahaba kiasi kile🙈🙈🙈oops 🙌🙌hazikuwa akili zangu mimi.. Nilianza kufikilia kile kilichotokea mpaka nikawa najionea aibu mwenyewe🙈 nilivua nguo nikakimbilia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments