MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️ SEHEMU YA 15

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️  SEHEMU YA 15

Hemed baada ya kunitambulisha kwa ndugu wote kuanzia baba mama na wadogo zake wawili Hamisa na Hisan.. Ikawadia zamu yangu ya kutambulishwa kwao🙈🙈 Hemed kwa unyenyekevu alinishika mkono akanisogeza ubavuni mwake uuuwww hata haogopi kuna baba zake pale 😂😂🙈 Aliwaambia familia yake ya kwamba umewaadia ule muda wa mimi kupata mwenzi wa kwenda kuanza naye maisha❤️❤️.. Najua sijawahi kuwaletea mwanamke wa aina yoyote ile hapa nyumbani lakini leo nimemleta.... Huyu ndo niliyekuwa nikimuomba Mungu anipe..jina lake ni Bella she's my wife to be❤️ yeye ni mke wangu mtarajiwa.. Nimemleta hapa kila mmoja amuone na leo rasmi nawatambulisheni kwenu kuwa Bella

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments