
Nilimuomba Hemed anipe muda nimfahamu yeye ni mwanaume wa aina gani na nikishamfahamu nitampa majibu sahihi.. Alikubali lakini akaniomba nisirudie tena kutoka usiku kama nilivofanya jana.. hahahaa anaamini kweli nilitoka lakini wala tulimdanganya tu.. Hemed aliniambia nikiwa na shida yoyote nimwambie yeye atanisaidia.. nilimwambia sawa asanteee.. Kama mnavoyajua mambo ya kutongozana huwa siyo ya haraka haraka🤣🤣🤣mchana ulitukuta pale pale kwenye ile hotel nzuri Hemed aliweka oda tuandaliwe lunch🥰 Tuliandaliwa lunch fulani hivi very demure 😋🍷tulikula mimi na Hemed hahahaa nilikuwa namuonea aibu sijui kwanini🙈🙈 Tulipomaliza kula Hemed alinirudisha nyumbani nilimbebea mdogo wangu chakula chake ili akitoka shule ale.. Baada ya
0 Comments