MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️* 16

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️* 16

*___________* *SEHEMU YA 16* Tulimaliza kufanya usafi tukaenda kukoga then tukapata kifungua kinywa tulipomaliza mama akaniomba tutoke🄰 Tulitoka mimi na Mom pamoja na missa my Wiii hahaaa nakapenda sana kawifi kangu❤️❤️.. Mom alinipeleka shopping nikanunua nguo maana siku napelekwa ukweni wala sikubeba hata nguo ya kubadili.. Nilinunua nguo za ndani na nguo za kubadili🄰🄰 viatu pochi pafume kila kitu mom aliniambia nibebe kila kitu nachohitaji.. Baada ya shopping tukapita photo shoot nyie mama mkwe wangu ana uzungu yule hahaaa🄰 tulipata picha kadhaa alidai anataka kubaki na picha za kumbukumbu.. Alimwambia pia yule mtu wa photo shoot aje home atuchukue picha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments