
Toa mkono gusa gear ya gali. " Nisamehe mwanangu. ( Alitoa mkono akashika usukani vizuri na akawa bize kuendesha gali mpaka tukafika mjini cha ajabu akawa ashuki kwenye gali namuuliza) " Namuuliza mbona atushuki? " Subili gali ipoe. ( Sikuweza kumuuliza tena maana mambo ya magali mimi siyajui ila nilimwangalia kiwizi wizi niliona ametuna mbele...nikameza tu mate ya akili anasubili pale ndio kupoe hili ashuke...na kweli dk 10 kulivyonywea tukashuka...nikawa na mawazo sana baba mdogo anapandwa na hisia na mimi mwanawe...basi tuliingia kwenye duka la simu ananiambia) " Chagua simu unayoipenda. ( Mimi tena na ushamba wangu nikawa natafuta simu
0 Comments