MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI 37 Huyu mbwa huyu🥺🥺ananipigia simu ya nini wakati ameshamchumbia mwanamke mwingine

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI  37  Huyu mbwa huyu🥺🥺ananipigia simu ya nini wakati ameshamchumbia mwanamke mwingine

🤨nilipokea ile simu ili nilisikie linataka kusema nini😒 Hemed aliniita Bella Good morning...mxiiiwww nilisonya tu kimoyomoyo badae nikamwitikia Good morning Hemed.. How was your night sweetheart 😘 mmhhhh😳😳 sweet what??? Akajibu sweetheart 💕 💖 Sema shida yako Hemed sitaki kejeli🥺🥺.. sikukejeli Bella jana usiku mzima sijalala moyo ulikuwa unaniuma sana🥺 kisa???? Akaniambia jana nilikuona pale kwenye event ya engagement 😰😰machozi yako yaliniuma sana Bella please kama itawezekana naomba tukutane sehemu tuongee kuhusu kile kilichotokea jana😰 Ukutane na nani Hemed?? Mimi siwezi kukutana na wewe popote pale we endelea tu na maisha yako umeshafanya chaguo lako namimi Mungu akinijaalia nitapata wa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments