MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tano. πŸ‘‰ Naomba simu yangu bodaboda ananisubili nje hapo...πŸ‘‡ Naomba.

MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tano.  πŸ‘‰ Naomba simu yangu bodaboda ananisubili nje hapo...πŸ‘‡  Naomba.

( Jamaa anatetemeka kwa hasira alafu kuna kama sauti anaisikia inasema usichukue maamuzi mabaya ukiwa na hasira hasira hasala...alimpa simu uku akimkazia jicho yani macho yanasema...ila mkewe wala hana habari akashika simu akaondoka....jamaa usingizi aukuweza kupatikana alitoka nje...akawa anamshuudia mkewe anaondoka na bodaboda...anawaza aombe ushauri anawaza asiombe yani kichwani kunavurugika akaona aende banda umiza akaangalie mpira kupoteza mawazo...japo akuna team anayoishabikia...akaangalia ila wapi aelewi akarudi nyumbani kwake sasa hawa anamuuliza) " Baba mbona macho mekundu sana yanauma. " Hapana hawa yani kichwa kimevurugwa. " Pole baba kajimwagie maji kichwa kitakuja kuuma. " Sawa hawa. ( Alienda bafuni akaoga ila bado

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments