MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️* *___________* *SEHEMU YA 11*

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️*  *___________*  *SEHEMU YA 11*

Nilitembea mdogo mdogo mpaka kwenye gari Hemed akashuka akanifungulia mlango nikapandašŸ™ˆšŸ™ˆakanifungia mkanda lolšŸ˜ Nyiee unaeza ukapagawa nawaambiašŸ™ˆšŸ™ˆ aliniambia umependeza sana mama❤️❤️.. Nikamwambia thank you you look Good too🄰❤️ akasema thanks, hope you Good nikamwambia yes I'm fine...you??? Akajibu I'm too fine..okay Tuliondoka mpaka chuoni hii ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kupelekwa chuoni na ndinga tena ndinga ya pesa ndefu nyiee.. Nilitamani nimzuie Hemed asinifikishe chuoni nilihofia watamuibašŸ˜šŸ˜šŸ˜naanzaje kumwambia uuwww si ataniona nimemzimikia kupita kiasi. Tulikwenda mpaka parking akasimamisha gari akashuka akaja kunifungulia mlango uuuwww šŸ˜šŸ˜ akanishika mkono nikashukašŸ™ˆ Wanafunzi walikuwa wanashangaa leo chuoni kaletwa nani jamani walihisi huenda waziri

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments