MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️ SEHEMU YA 24* Nilipokea ile simu mwilini mzima unatetemeka😴😴 nilimwakia mama akaitikia vizuri

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️  SEHEMU YA 24*  Nilipokea ile simu mwilini mzima unatetemeka😴😴 nilimwakia mama akaitikia vizuri

tu akanijulia hali nikamwambia sijambo mama nimewamiss tu😴 Mama aliniambia yani Bella huwezi amini ni jana tu nilikuwa nakuwazia mpaka nikataka nikupigie simu nikwambie napanga kuja kuwatembelea... Tupange kuhusu ndoa yenu lakini badae nikasema nitawa surprise😊😊mpaka usiku tumemaliza kuwaongelea tukalala cha ajabu leo naamka nakuta missed call yake vipi hamjambo lakini??. Nikamwambia sijambo mama niliwakumbuka tu nikasema niwatafute🙈🙈 mama aliniambia kwa vile tumeshaongea basi hii siyo surprise tena.. Jiandae tu kutupokea leo badae badae tutawatembelea tunakuja kupanga kuhusu uchumba wako inatakiwa Hemed akuvishe pete then ndoa yenu itaanza kuandaliwa... Mmhhh wazazi inaonekana hawajui chochote kinachoendelea😳😳😳kama Hemed hajawaambia namimi siwaambii😝😝 hapa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments