NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 18 Mida ya jioni ilipowadia Jasinta alivaa nguo aliyoletewa na Mike. Kioo kilitosha kumuambia kuwa

NILIUZWA KUWA MTUMWA WA BILIONEA 18  Mida ya jioni ilipowadia Jasinta alivaa nguo aliyoletewa na Mike. Kioo kilitosha kumuambia kuwa

kapendeza "Mbwa huyu analeta nguo anasahau viatu...." Alilalamika huku akijaribu kutafuta viatu vinavyo endana na nguo Ile anafungua mlango alikutana na gari "Hii gari imefika hapa saa ngapi hata nisisikie muungurumo" Alimuuliza Suzy "Si kila gari ni lazima litoe muungurumo...." Suzy aliongea akimpa ishara ya kuingia kwenye gari Basi Jasinta aliingia akakaa kama Boss hivi. Safari ya kwenda Montana Hotel ilianza Mike aliachia tabasamu baada ya kumuona Jasinta "Hilo tabasamu usoni mwako vipi" "Nimefurahi tu kukuona" "Kati ya bidhaa mbili nilizokuuzia ni ipi imekufurahisha zaidi mpaka unitoe dinner" "Nafurahi sana kuuziwa Ciara" Jasinta alicheka hasa baada ya kujua Jessa hana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments