MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI SEHEMU YA : 09....10 Nyie nilianza kulia Kama Mtoto Mdogo na kuomba msamaha mfululizo lakini kilio

MUME WANGU ALIVYONIOLEA MKE WA PILI   SEHEMU YA : 09....10        Nyie nilianza kulia Kama Mtoto Mdogo na kuomba msamaha mfululizo lakini kilio

changu kilikuwa Kama ni sauti za chiliku kwenye masikio ya hamad, hamad hakuweza ata kunihurumia zaidi alinitumia alivyotaka. Nilijua Kuamka siku nyingine kabisa nikiwa kitandani mtupu kabisa, mwilini nilikuwa Nina maumivu makali sana lakini pia nilikuwa. Na uchovu wa kutosha kutoka na kipigo lakini pia na kazi nzito ya usiku kucha. Muda huo huo akaingia Hamadi akiwa na trey aliloweka kifungua kinywa. Nikijikaza na kunyanyuka lakini hamad akawai na kufunga mlango na kuniuliza.. “Unataka kwenda wapi ??” “ ni muda wa kuwaandaa watoto wangu aendee shule “ Hamad akaniangalia kwa muda kisha akaniuliza. “Hivi ukiniangalia unaniona Kama baba mjinga sana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments