
.. Romy aliniambia hata kama ile post haikumaanisha chochote yeye tayari alishanipenda tangu mara ya kwanza tumeonana pale hotel.. Jiulize kwanini nilikuchagua wewe nikawaacha wengine Bella🥺🥺hii inadhihirisha kila kitu wazi..kwani bado huoni kama ninakupenda??. Romy aliniuliza hilo swali nikakaa kimya badae nikamwambia naona lakini nahitaji kujiridhisha juu ya hilo😞😞.. Romy hakuwa na shida yoyote juu ya hilo aliniambia muda wowote nitakapokuwa tayari tutaanza mahusiano.. Sikuamini nilihisi huenda ananidenda denda then anibake kama nilivoota siku ile Arusha 🥺🥺🥺.. Wakati nayawaza yote hayo Romy aliniambia unaruhusiwa kuniamini Bella😊😊tena ikiwezekana niamini hata zaidi ya vile unavojiamini.. Really?.. akasema i am right 😊😊😊 wow
0 Comments