
. Romex nimekusubiri sana naona Hauji, na mimi muda wa kukaa hapa umeisha acha niondoke tutaonana kesho. Sawa. Lilian alimsogelea Romex na kumbusu kwenye shavu kisha akaondoka. Romex na Simu walimsindikiza kwa macho mpaka alipotoka nje ya geti. "Hivi hajasikia kweli au ananiiigizia? Atakuwa hajasikia, kwa tabia za wanawake huwa hawawezi kuvumilia lazima angelianzisha. "Afadhali nianze kumilizana na swala moja baada ya lingine. Alisema Romex kisha akaingia ndani. Usiku kucha Romex alikuwa mtu mwenye mawazo mengi, alijiuliza maswali mengi na kukumbuka maneno ya Salsa alipo kuwa akimwambia kuwa ni mimba yake nae akachukuliwa kama utani. Hatimae kulikucha Romex akijiandaa na
0 Comments