MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*🥰😋 Chapter 10 "Hahahaha Pambanaa Kaka pia huyo ndo mtamu wako tokaa utotoni. "Jay

MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*🥰😋 Chapter 10  "Hahahaha Pambanaa Kaka pia huyo ndo mtamu wako tokaa utotoni. "Jay

alisemaa huku akimuagaa Jordan. Safari ya Jay ilianzaa baadaa ya masaa machache Asubuhi Nyingine Kupambazukaaa Jordan akiwa ofisinee anapoingiaa mtandaonli anakutana na habari ambayo kwake haikuwaa ngeni JESHI LA POLISI LINATANGAZA VITA KALI JUU YA WAAUZA MADAWA WA KULEVYA NA VIKUNDI MBALI MBALI VYA UVUNJAJI SHERIA. Habari yasemaa ivyo "Narshaa hataki kbsaa kuachnaa na hayaa mambo na sijui ni kwann ilaa kilaa mtu akipandacho ukipataa Jordan Alisemaa kwa nguvu Lkn ghaflaa alisikiaa mtu akipigaa makofii huku akiingiaa ofisini kwake hakuwaa mwingnee alikuwaani The Queen Narshaa. "Woow your most welcome" Jordan Alisemaa. huku akitoa tabasamu lakee la kejeli. "Nice Thanks Too

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments