BETWEEN SISTERS AND SECRET Chapter 15 "Basi kikao kihairishwe, Mr Maximilian alisimama akaelekea chumbani. "Mama sisi acha twende tukamuone Gael tujue anashida gani," Gavin na Gian walienda nyumbani kwa Gael.

"Mbona macho mekundu upo sawa kaka?" Gian alimuuliza Gael. "Anaonekana hayupo sawa, kaa kimya, akitaka kutwambia anasumbuliwa na nini atatwambia yeye mwenyewe. "Nimemfumania Mira na mwanaume mwingine tena sio tu mwanaume mwingine ni ex wake nakumbuka kabisa niliwahi kukuta picha yake kwenye simu ya Mira na aliniambia atafuta." "Na wewe ukamuamini kabisa mtu gani anakuwa na picha ya ex wake kwenye simu ilhali wameshaachana," alisema Gian. "Gian huu sio wakati wa kumlaumu Gael kila kitu kimeshatokea kwa sasa ni kumsahau Mira na maisha yaendelee mbona wanawake wazuri wapo kibao," alisema Gavin.. "Nitajitahidi kusahu kila kitu," Gael aliongea huku anatabasamu. Zililipita

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments