MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*🥰😋 Chapter 8 Jordan kwa maraa nyingn anamuonaa Saraah tena akiwa amefumbuaa macho

MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*🥰😋  Chapter 8  Jordan kwa maraa nyingn anamuonaa Saraah tena akiwa amefumbuaa macho

. Wawili hawa wanakumbatiana kwaa Furahii Sanaaa, Jordan anaamuaa kumtaarifuu Jay Na wafanyaa kazii wa kulee Ofisini Ikn kwa makusudil kbsaa hampitaarifa madam Lindaaa na Narshaa plaa. Daktaril huyu anaonekana kufurahil kuona Saraah akiwa mzimaa kbsa. Wakiwaa katika mazungumzoo yao Daktari anaombwaa kujitambulisha na Saraah kwa maan alisifiwaa sanaa na Jordan juu ya tiba yake. "Hahah sawaaa Saraaah najitambulishaa ata usijali." Alisemaa Daktari Yule. "Kwa majinaa mm naitwaa Abdulh Ramadhan"Daktari alisemaa. Baada kutaja lilee jinaa huwez Amini Saraa alipata nguvu ya kusimama kbsaa maana rafiki ake aliitwaa Abdulh Ramadhan piaa Jordan piaa Alipataa nguvuu ya harakaa ya kusimama maake hili

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments