MTEULE WA KUZIMU SEHEM YA KUMI

MTEULE WA KUZIMU  SEHEM YA KUMI

tina alitetemeka akaona sasa mwisho wake umefika ,akajua anaenda kutolewa kafara viungo vyake vitundikwe kama vile anavyoviona, akamuona Mery akivua nguo zote akibaki kama alivyozaliwa,. Nilsahau kukwambia uvue nguo 'unaona watu wote wanaoingia ukumbini wapo Kama walivyozaliwa, ni kweli kwenye ukumbi ule wa kutisha kila mtu hakua na nguo wala hakuna anaemshangaa mwenzake,si mwanamke la mwanaume ,wote walikua bize kukaa nafasi zao .baada ya ote kuketi kilipita kiza cha ghafla ukafatia mwanga mwekundu, kila mtu aliinama kuonesha heshima isipokua watu wachache sana walioonekana kushangaa. Kikapita kimya kifupi sauti ikasikika "nimekuja kupokea na kuwaapisha watumishi wapya ',nawakaribisha sana kwa moyo wao

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments