MKASA WA MAISHA YA MWANAMKE MAGRET J MASAMA MWENYEJI WA MBEYA Sehemu ya Nane ( 8 )

MKASA WA MAISHA YA MWANAMKE MAGRET J MASAMA MWENYEJI WA MBEYA Sehemu ya Nane  ( 8 )

************* @Kila Mtu 💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝 Akichukua mkanda na kujifunga uku akitabasamu nadhani utaenda kusimulia uko uwendapo nilikuchukua kwa ajiri ya mama angu nadhani hauna shukrani sasa nitakuonyesha kulichomtoa kanga manyoya 'maneno yake yaliendelea kunitisha nilitamani nishuke kwenye gari lakini sikuweza Nilivyoona hali imezidi kuwa mbaya mwendo umekuwa mkubwa niliamua kufunga mkanda lakini ulikataa nilipoangalia kwa umakini kumbe ile mia mbili hakuweka mfuko mwengine aliweka ile sehemu ya kuchomekea mpaka dhahiri alitaka kunisababishia ajari ili nitokee dirishani ,akati naendelea kutafari gafra alianza kupunguza mwendo na kusimamisha gari kabisa "Mage hii mara ya mwisho ukiendelea na ujinga wako nitakuja kukufanya kitu kibaya ambacho

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments