MTOTO WA MAID ACHIA MOYO WANGU* *1---2*

MTOTO WA MAID ACHIA MOYO WANGU* *1---2*

*_________________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* "Binti yangu,najua sijakuhemelea vitu vyote lakini nitajitajidi awamu ijayo uende na mahitaji yote, mama jamani ata usijali, vilivyopelea nivichache nitajibana kila kitu kitaenda sawa,mama angu alinikumbatia kwa furaha, nilikuwa kwenye maandalizi ya kwenda Advance, na kwa bahati nzuri boss alitoa ofa ya kunisomesha private na chuo pia kwa gharama zake, mama angu ni house maid, alipata mimba yangu akiwa mdogo sana, amenizaa akiwa na miaka 16.... Baba angu alikuja kutalii, akawa kamrubuni mama angu, kutoka kituo cha kulelea yatima. akampangia nyumba, nakuanza kuishi nae, walitoka mbali na mkoa aliokuwa anaishi mama wakahamia Iringa, mama angu alivyopata

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments