MY FOREVER MAN 💘 14

MY FOREVER MAN 💘 14

Abby alikaa kando ya Kamila, macho yake yaliangalia uso wake kwa muda mrefu, akimchunguza kwa upendo , kamila alionekana kuwa na hofu “Hivi umeshawahi kujiuliza hii bahasha imefika je hapa ndani? Na umepata jibu la swali lako?” aliuliza Abby, sauti yake upole . " Nilijiuliza hilo swali lakini sikupata jibu kuwa imefikaje hapa ndani . " Kama haijaleta wewe au mimi atakuwa kuleta nani? " Sijui. " Kama sio wewe itakuwa mimi na kama ni mimi itakuwa ina maana gani mimi kujichongea kwa mabaya? Kamila alikaa kimnya kwa muda kisha akamuangalia Abby usoni. " Unamaana atakuwa ni. Rehema ? "

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments