MY FOREVER MAN 💘 15 Abby alipoona hali imekuwa ngumu mno, moyo wake ulijaa

MY FOREVER MAN 💘 15  Abby alipoona hali imekuwa ngumu mno, moyo wake ulijaa

MY FOREVER MAN 💘 15 Abby alipoona hali imekuwa ngumu mno, moyo wake ulijaa maumivu na hasira. Alinyanyuka kitandani ghafla akasogea mabatini akatoa begi ,akavuta shati lake kwa pupa na kuanza kukusanya vitu vyake vidogo vidogo na kuweka kwenye begi bila mpangilio. Kamila akajikuta akisimama haraka huku akiwa ametoa macho “Abby! Unafanya nini?” aliuliza kwa sauti ya hofu. “Ninaondoka Kamila sitaki kuendelea kukaa mahali ambapo kila siku naonekana msaliti. Kama kweli huamini tena maneno yangu, basi ni bora niondoke kuliko kila siku kuumizwa na maneno ya watu wako wa karibu,” Abby alisema huku akijaribu kuficha hasira alizokuwa nazo. Kamila alimsogelea

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments