POOR RICHMAN* (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake) Sehemu Ya 13

POOR RICHMAN*  (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake)  Sehemu Ya 13

Hakika Mr Tamir alichanganyikiwa, Macho yalimtoka hakuamini ile video aliyo tumiwa!. "Baba Vipi mbona unatumbua Macho kuna Nini!??" Basi Binti Yake na Mr Tamir alimuuliza Baba Yake baada ya kuona ni kama kushituka kwa kile alicho tumiwa!. "Humjui Baba Yako atakuwa kaharibu tena!! Maana hachelewi kuharibu!" Mke Wa Mr Tamir alidakia, yaani alikuwa kama kaona hivi. "Hamna ni Vitu vya kawaida tu!" Mr Tamir alijibu Baada ya hapo alichukua ufunguo Wa Gari na kuondoka!. Siku Hiyo hakulala nyumbani kabisa, alilala Hotelini akiwa kachanganyikiwa!. Video aliyo tumiwa ilikuwa inamuonesha Yeye akiwa na Diana chumbani, Tena Wote wakiwa watupi wanafanya yao! Na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments