❤❤ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya pili. πŸ‘‰ Hawa yeye ajui chochote ndio kwanza anaifikicha pale katikati zinapokaa 1200...πŸ‘‡

❤❤ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya pili.  πŸ‘‰ Hawa yeye ajui chochote ndio kwanza anaifikicha pale katikati zinapokaa 1200...πŸ‘‡

Jamaa akaingia ndani akamwita mkewe akamwambia) " Mke wangu unampa boxsa yangu hawa hii nini unafanya. " Mume wangu ujue ata baba hawa niliachana nae kwa sababu ya gubu mimi sipendi mwanaume mwenye gubu yani unawaza nini hawa akifua boxsa yako? " Sio ustaharabu mimi ni baba yake. ( Jibu lililotoka mdomoni mwa mama hawa jamaa aliinama chini) " Baba yake jina lako linasoma mbele ya kadi. ( Alafu akatoka nje uku anapokea simu) " Umesema iyo shughuri lini maana nilikata simu nikajua mume wangu hanalo jambo la maana kumbe jambo jeusi niambie. ( Jamaa akawa anajuta kimoyoni akawa anasema

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments