RUBANI NAUMIA MWENZIO* _* *SEHEMU YA 01 na 02 mwenzako "Princess wahi binti yangu anakusubiri, nilisikia sauti ya mama angu akiniambia wakati najiandaa kwenda vacationa na rafiki

RUBANI NAUMIA MWENZIO* _*  *SEHEMU YA   01 na 02  mwenzako "Princess wahi binti yangu anakusubiri, nilisikia sauti ya mama angu akiniambia wakati najiandaa kwenda vacationa na rafiki

yangu, tuliamua kwenda zanzibar kwa wiki moja, ndo kwanza tulikuwa tumemaliza form 6, matokeo yametoka tumefaulu vizuri sana, mimi na rafiki yangu, dada ake akawa ametuandalia mtoko wa kwenda kuenjoy Zanzibar na ndiko alikoolewa, apo nilikuwa na furaha mno mtoto wa mama P, rafiki yangu Lisa alikuwa kashajiandaa yuko ananisubiri, nilitoka tukasepa, apo mama kashanipa ushauri wa kutosha, kama utani hatimae tulifika Zanzibar dada ake Lisa alikuja kutupokea tulikaribishwa vizuri, ila mazingira yakwake hayakuwa rafiki, aliamua kukodi aprtment tuishi wenyewe kwa wiki mbili, alipiga simu nyumbani nakuona isiwe wiki moja ziwe mbili, wazazi walikubali japo mama alileta kaugumu, tukampanga akalainika,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments