Thomas sankara alizaliwa tarehe 21/12/1949 huko Yaakov French upper volta (Jina la zamani la Nchi ya Burkinafaso)

Thomas sankara alizaliwa tarehe 21/12/1949 huko Yaakov French upper volta (Jina la zamani la Nchi ya Burkinafaso)

Sina shaka kama ni mfuatiliaji wa siasa umeshalisikia jina hili.Thomas sankara alizaliwa tarehe 21/12/1949 huko Yaakov French upper volta (Jina la zamani la Nchi ya Burkinafaso) katika familia ya Bwana Joseph na mama Margaret Sankara ambayo ni familia ya kimisionari.Thomas Sankara alifahamika kwa jina la utani la The African che Guevara kutokana na misimamo yake mikali iliyomfanya akafananishwa na mwanasiasa gwiji kutoka Amerika ya kaskazini Che Guevara. Kabla ya kuwa Rais wa Nchi ya Burkinafaso Thomas Sankara alihudumu kama waziri Mkuu katika serikali iliyokuwa madarani hadi kufika mwaka 1983 ambapo Thomas Sankara na rafiki yake wa karibu Sana toka wapo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments