
Sameer alieleza kwamba kabla ya kurekodi wimbo huo, Salman alikuwa akimpigia simu mtunzi Himesh Reshammiya, akimwomba amwimbie wimbo huo, kisha kusikiliza.
Sameer aliongeza kuwa, Salman alitaka wimbo huo — hasa mstari usemao "Kyun kisiko wafa ke badle wafa nahi milti" (Kwanini mtu hapati uaminifu badala ya uaminifu?) — umfikie Aishwarya. Inaonekana wimbo huo ulikuwa njia yake ya kuonyesha maumivu yake kwa Aishwarya Rai.
Kama ungekuwepo kipindi hicho ungemshauri nini ?
Soma zaidi
0 Comments