MY FOREVER MAN 💘 9

MY FOREVER MAN 💘 9

Abby na Kamila walipoingia chumbani kwao Kapila alienda kukaa kitandani moyo waka ulikuwa unadunda kwa kasi pia alionekana kuwa na hofu. Abby alisimama mbele yake akiwa anamuangalia . " Vipi mpenzi mbona umekosa amani ghafla hivyo? " kijobanekuja kuharibu furaha yangu. " Unejisikia vibaya ulivyomfukuza? " Hapana sijajusikia vibaya kabisa ila anaweza kufanya kiti kwako. Abby alitoa tabasamu la kujiamini kisha akaenda kukaa karibu na kamila. " Ngoja nikuhskikishie kitu mpenzi wangu, kijo hawezi kunifanya chochote mimi mwenyewe mtoto wa mjini vile vile . Kamila alimuangalia Abby alikuwa ni mtu mwenye kujiamini sana na sio wa kunyenyekea kama siku zote

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments