POOR RICHMAN* (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake) Sehemu Ya 7

POOR RICHMAN*  (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake)  Sehemu Ya 7

"Brother Sisi tupo Tayari kwa Lolote, ehee twambie tunaanzia wapi na plani gani unayo, maana Mr Tamir Siyo Mtu Wa kumuangusha bila plani!??" Keivo aliuliza swali Ambalo hata Sisi tunajiuliza. "Kitu cha kwanza ni kutafuta connection Nataka nihakikishe ndani ya Wiki Hii Namiliki Bastola, Baada ya hapo ntafanya mpango Wa kumteka mtoto pekee Wa Mr Tamir ikiwezekana hata familia Yake Yote! Mengine yatajileta yenyewe!" Jovin alitoa mpango ambao ulifanya vijana watazamane!, kwanza kitendo cha kusema atamiliki Bastola kiliwashitua, alafu kwenda kuteka mtoto Wa Tajiri kama Mr Tamir waliona ni kama kucheza na kisu chenye makali kwenye shingo zao "Brother ebu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments