MY HEART BEAT 🥰 1-----5 SEHEMU..1 🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀 ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Safari yamaisha inamengi utayo yapitia mazuri au mabaya lakini mapenzi nayo ujumuika kwayale utayoyapitia ili kukamilisha ubinadamu.

Ungana nami kwenye stor yangu utaburudika nakughadhabika najua yote ndio tumeumbiwa wanadamu sisi. Nilikua nikiota ndoto ilio kua kila wakati ikinijia akilini mwangu nakujitesa nilizidi kuweweseka nakutoka majasho yaliojaa mwilini mwangu. Kama vile nipo katikati yamsitu basi nakimbizwa nawanyama wakali kweli kweli. Nilikurupuka usingizini uku nikiyatoa macho yangu kama kunamtu alikua akikabwa shingo basi Alijitahidi kujitoa ndivo ilikua kwangu mbele yangu nilimuona mschana mmoja mzuri kweli kila nilipo muona basi akili yangu ilikua aitulia jince alivokua mzuri mbele yamacho Yangu aliitwa zuri kama jina lake yani. Zasubuh Ezra punguza kuwaza unachokua unakiwaza mama yangu alishanambia kile utachokiwaza kiwe kibaya au

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments