MY LUNA Simulizi za john 0789 824 178 1000 SEHEMU YA : 12

MY LUNA Simulizi za john  0789 824 178  1000 SEHEMU YA : 12

Zayn alipoingia ofisini asubui ile ya Ijumaa, hakutarajia chochote kipya. Alikua na usingizi bado, kichwa kilimuwasha kwa hasira na mawazo ya Tatiana. Lakini mara tu alipofungua mlango wa ofisi yake, alikutana na sura ya mtu ambae hakutarajia kumuona pale kabisa🙅‍♀️. “Kevin?” Zayn alipiga kelele akiwa haamini macho yake🗣️ Kevin alisimama kwa tabasamu akasema, “Bro! Surprise!”🥳 Zayn alimkumbatia Kevin kwa furaha mno maana ni mchizi kichizi wake toka enzi za primary🫰 “Damn! Wewe ulikuwa Seychelles, lini umerudi?” “Jana usiku. Nilitaka nikufanyie suprise kidogo nikushtue” Kevin alijibu huku akicheka🤣. Walikaa wote kwenye sofa, Kevin akiwa na shauku ya kujua mengi kuhusu mchizi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments