SINGLE DADY NA MAMA WA KUKODI* *________________________________________* SSehemu ya 6

SINGLE DADY NA MAMA WA KUKODI* *________________________________________*   SSehemu ya  6

Max alichukua bahasha ya kaki na kumpatia Dala. " Ni nini hii? " Pokea kwanza. Dala alipokea huku akiwa anamuangalia Max usoni. " Dala hapo kuna sheria muhimu za hii nyumba n maelezo ya jinsi ya kumlea binti yangu, soma kwa makini. Dala alifungua ile bahasha na kutoa karatasi na kuanza kusoma mstari hadi mstari , alipomaliza alishusha pumzi na kusema . " Haya kweli ni maisha mapya. " Umesoma vizuri na umeelewa? Dala alirudisha macho yake kwenye karatasi na kuendelea kusoma. Alitumia dakika kadhaa kusoma zile karatasi kisha akasema " Kifupi baba shalon unataka kunibana sana yani sitakiwi kutoka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments