MY LUUNA SEHEMU YA : 11

MY LUUNA   SEHEMU YA : 11

Zayn alianza kuhisi harufu ya usaliti kutoka kwa Tatiana lakini kwakua alikua anajiamini kwa uhandsome wake na utajiri, hakudhani kama anaweza kusalitiwa. Embu kwanza ncheke🤣🤣. Ila ukweli ni kwamba, Tatiana alikua kweli anamsaliti kisiri siri. Tena na mwanaume ambae alishawai kusoma nae, mbaya zaidi alikuaga first Love wake. Najua mnajua jinsi gani first Love walivyo na nguvu🤣. Anyways Siku hiyo, Zayn alimfuatilia nyuma Tatiana alipomuaga kuwa anaenda kumsalimia mama yake. Alimuona akisimama kwenye kituo cha daladala ambapo dakika tano zilipita ndipo likaja gari aina ya ICT na kusimama mbele yake. Dereva alishuka, akazunguka upande wa pili aliposimama Tatiana, akamkumbatia na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments