ππˆπ“π€πŠπ”π†π€ππƒπ€πŸ˜ ⁽NΙͺα΄›α΄€α΄‹α΄œκœ°α΄œα΄€α΄›α΄€ α΄˜α΄α΄˜α΄α΄›α΄‡⁾πŸ₯° 3

ππˆπ“π€πŠπ”π†π€ππƒπ€πŸ˜ ⁽NΙͺα΄›α΄€α΄‹α΄œκœ°α΄œα΄€α΄›α΄€ α΄˜α΄α΄˜α΄α΄›α΄‡⁾πŸ₯° 3

*______________________________* 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š Kesho yake nikiwa kazini majira ya mchana Patrick alikuja akamkuta mama T walisalimiana hukuakiwa ananiangalia na Mimi nilimtupia jicho huku nikiwa naendelea kumuhudimia mteja Patrick alinikonyeza " Yani huyu kaka anahangaika inamaana hajawahi kuwa na mwanamke au mihemko yake inampeleka vibaya . Walitaniana Tania a na mama T Kisha wakatoka pamoja muda uleule simu yangu iliingiza messeg lakini sokuhangaika nayo kwasababu nilikuwa na mteja . Nilipomaliza kumuhudimia mteja nilichukua simu na kuangalia nilishangaa kuona message ya hela tena laki mbili niliamgalia mara mbili mbili huku nikijiulizs ni nani aloekosea na kunitumia Ile hela " Jamani watu wanajua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments