
Dada Kiboga DAda kibogaaaa hehehehe😁😁😁halooooo ndo jina langu wanaloniiita watu wa mtaani kwetu hehehehehehehe uwiiiiiiiii si refu si fupi si la katikati kote halipoooo,india halipo jehenamu alipo ,mbinguni halipooo lipo mtipesaaa a.k.a mti wa mipene Em ngoja kwanza nikakojoe halafu narudi nna mengi ya kunena lakini kojo linanizuiaaa🤣🤣🤣🤣 Kheeee🤣🤣🤣!!!!!!!!kwa hili foleni kama nipo kimara nagombania mwendokasi kwa kweli siwezi acha tu nilibane kojo nije niwape story👌👌👌👌shogaaa weeee ?????mbona kimyaa??? Nikisema shogaaa weeeeeh ,itikia pambe tuuuuu🤣 Aya tuendeleee maana nna story hadi napaliwa mwenzenu Mi mwenzenu naitwa KIBOGA RAMADHANI MFINANGA. si mmeona jina langu la mwisho enhe??basi msiniulize sana mpare mie
0 Comments