
Naitwa Tatiana Ni binti wa miaka 25 Ni mtoto wa Pili Kati ya watoto wa mzee Ponda Kaka yangu mkubwa anaitwa Barack na wa Pili Ni Mimi . maisha yetu yalikuwa ya kawaida sana Ila ilikuwa na furaha na upendo wa hali ya juu wazazi wetu walihakikisha tunapata haki zetu Kama watoto ikiwepo kusoma pamoja na nahitaji yetu muhimu Barack alikuwa kidato Cha sita Mimi nilikuwa nimemaliza kidato Cha nne Ila bahati mbaya sikufanya vizuri matokeo yangu hayakuwa mazuri wazazi wangu walitaka kunirudisha Tena shule kwaajili ya kulisiti kutokana na kipato kidogo Cha wazazi wangu niliwaomba wasinifikirie Sana Mimi wajiwekee
0 Comments