
Nilitoa ile karatasi ya Ultrasound nikampatia afu nikasema Tadaaa ,surprise haya fumbuaa akafumbua anaitazam akaniuliza hii nini nikasema mmmmmh yaan kwa kudeka ile ileee "You Gona be a Dadyyyy!! For my own child!!!!" "Serious?????" "Mhuuuu" Alex alichekaaaaa akanikumbatia alinipiga mabusu kidogo ninuke mate akanambia kumbe unajua kingelezaa hahaha nikasema ungejua navyo kaliliii hahahah basi tuuu Alinibeba juu juuu chumba chotee anazunguka akanambia salma wanguu jamani salmaaaaaa we salmaa wewee nikupe ninii mie mke wangu?? Nikamwambia naomba moyo wako nipe moyo tuuuu huo ndio nautaka akaniuliza vipi kuhusu bandama na filigisi yaan we hata inni beba na figo zake salmaa moyo
0 Comments