MY FOREVER MAN 💘 7

MY FOREVER MAN 💘 7

Mlango wa geti dogo uliendelea kugongwa kwa nguvu, “Bam! Bam! Bam!” Abby alijikuta moyo ukipiga kama ngoma, alihisi atakuwa kijo. akaanza kupiga hatua taratibu kuelekea getini. Kamila alibaki kasimama huku akiangalia getini kwa makini. Abby Alisogea getini kufungua, macho yake yakakutana na sura ambayo hakutegemea kuiona hata kidogo. “Latifa…?” Abby alimuita kwa mshangao , alishusha pumzi nzito, uso wake ukibadilika ghafla. Latifa, mwanamke mrembo lakini mwenye macho yaliyojaa dharau, aliingiandani bila hata salamu. “Ndiyo, mimi. Nimekuja kukutafuta. Umefikiri tumemaliza na ,Abby?” alisema kwa sauti ya dharau huku akikunja mikono. Kamila alimuangalia kwa makini huku akiwa kakunja uso. " Huyu nae

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments