NDOA YA MIE : 7 MTNZ : ZAMRATA

NDOA YA MIE : 7 MTNZ : ZAMRATA

MBWANA (ZM) NO: 0698095257 Tulipo ishia ni Pale Mzee Kazumari anaongea na mfanyakazi wake Juma.. Songa nayo .... "Khe!!! Kumbe na je Mahili atakubali kumuoa Binti wa Kijijini Zenafa ilihali ana Mwanamke wake Mwana chuo ambae ni Sara na Wanapendana sana? Huoni kama utakuwa unakosea sana Mzee " "Mimi Siangalii ilo Amtake Asimtake lazima Mahili Amuoe Zenafa Uyo Sara sio Mwanamke Sahihi kwa Mwanangu Mahili na Atampoteza Kijana wangu uyo Binti " Alisema Mzee Kazumari kwa Hasila mno huku Juma Alitoa Macho Ishara ya Kuvulugwa kwani Alijikuta anatokea Kumpenda Sana Zenafa . Mahili Aliendelea Kuponda Raha Mjini na Mpenzi wake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments