
Naitwa Daudi nakaa mkoani kaka yangu anakaa mjini anaitwa yusuph kaka alinipigia simu mdogo wangu mimi kazi ninayofanya bado miaka miwili nistahafu sasa nimeambiwa nimchague mtu wa kumwacha kwenye hii kazi mimi nimeona wewe ndio unafaa kukuachia hii kazi unasemaje?? " Mimi nikiangalia maisha magumu na kazi siku izi ndio fashion yake kujuana. Nikamwambia kaka nakuja mimi najuwa kaka anafanya kazi hospital ila sijui kitengo gani yeye ananiambia hii kazi ina malupu lupu tofauti na kazi zengine yani anaisifu na mimi nina shida nikasema sawa nakuja kaka. " kweli nilifika mjini nikafikia kwake anakaa peke yake nililala kesho yake akaniambia
0 Comments