ZAINABU Sehemu ya 2

ZAINABU Sehemu ya 2

Simulizi za john 0789 824 178 1000 Nilikosa nguvu kabisa, sikuwahi busiwa mdomoni lkn vile amenikumbatia tu nilikua hoii kwa hisia ambazo sikuwahi kabisa kuzipata. Rashidi aliendelea kunipa French kiss huku akinishika shingoni, sikumzuia niliskia raha sana. Aliniachia nikamtazama usoni, nae alikua ananitazama, macho yetu yakatizamana nilihisi utofauti mwilini na moyoni nilikosa hata neno la kusema, nae hakusema kitu akawa ananishika tu usoni na mkono wake huku ananitazama. Mara tukaskia mlango wake unagongwa nilistuka mno nikamtazama nikiogopa. Nikasema nani huyo? Nikaanza kutaka kuingia uvunguni yy akawa anacheka, akasema sasa unaenda wapi? Nikasema labda ni Nas nitafanyaje mimi? Akasema kwani kuna

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments