
Haraka Haraka Mr Allan Aliweka Mipango sΓ wa Na kuunda Acc Fake zisizo pungua 10. ** Asubuhi Taarifa ya iliyotikisa Nch ilikua Juu ya Video Zile Wananchi Waliandamana Kila Sehem Wengi walielekea Mpaka Ulipo Mgodi Kulikua Na vurugu Nyingi Kuwafukuza Waarabu Police waliwaweka Chini ya Ulinzi Makregani na Wazir Mkuu Na Moja Kwa Moja Walifikishwa Mpaka Mahakamani Ushahid wote mr Allan Alisimama Katika Kesi Hiyo na Kuhakikisha Wote Walio Husika Wanatajana Muddy Alifikishwa Mahakamani video Ilimuonesha Kwenda Nyumban kwa Alex ile Siku Akiwa Na vijana Wa Makregani Muda Tena Akirejea Na Askar police na Kuonesha hafaham Kitu Ilitosha Kumbana Katika Usaliti
0 Comments