NI WANGU PEKEANGU epsd 14.

NI WANGU PEKEANGU epsd 14.

Muda ulifika Franco alienda kumpitia mpenzi Vanessa na kumpeleka sehemu kuenjoy kidogo ili asiboreke naile msg aliotumiwa na Fred hivyo alimjua Vanessa kuliko Fred anavyomjua anajua kuwa anahitaji nini ili afurahi anahitaji nini ili aweze kujihisi kama anavyojihisi sasa baada ya yoote akamludisha nyumbani kwao na kisha akaondoka nayeye nyumbani alipofika nyumbani alimuomba Fred watoke nje kwenye Garden wakatoka na kukaa huku waliagiza vinywaji na kuanza mazungumzo huku wanakunywa Franco alianza Fred wewe ni nduguyangu ila kilichotokea kimetokea Fred akauliza kulikoni kunakitu ganitena Franco akasema nakuomba radhi mdogoangu kwakile kilichotokea Fred akauliza nini mmefanya mpaka uombe radhi mimi ni mdogoako

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments