NILIJIUZA BILA MUME WANGU KUJUA NOTE: INA MAUDHUI YA WATU WAZIM SOMA KWA UANGALIFU EPISODE 8

NILIJIUZA BILA MUME WANGU KUJUA   NOTE: INA MAUDHUI YA WATU WAZIM SOMA KWA UANGALIFU   EPISODE 8

Samahani dada kama mna Makopo naomba unisaidie na mimi nipate ridhiki" aliongea kwa unyonge na kunifanya nipate huruma, haya ingia uzunguke nyuma ya nyumba kuna pipa la taka." Nilimwambia, akavuka mlangoni nq kuingia ndani, wakati anatembea kuelekea nyuma ya nyumba mimi nilikuwa nyuma yake namtazama ‎ ‎"Mh huyu kijana sijui kakosa nini, Dah ni mzuri sana kwanza ana urefu wa kupendeza na anaonekana akipata maisha mazuri ni bonge la HB" nilianza kujisemea kimoyo moyo huku nikimtathimini kijana yule. Kwa kweli Nilijikuta nimeanza kumpenda.na naule mguu niliouona ndo unaonichanganya mimi jamani .... Kisha akatoka na kuzunguka nyuma ya nymba yeti tunayokaa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments