
Wahenga walisema utamu wa ndoa ni mtoto au watoto lakini kwangu ilikuwa tofauti kwani nilikaa kwa miaka 7 na mume wangu Brown bila ndoa yetu kujaaliwa mtoto. Kwa kipindi chote hicho ndoa yangu ilikuwa chungu😒 mithili ya ukwaju😫 mbichi, nilipokea vijembe kutoka kwa mawifi, mama mkwe na hata majirani. Nakumbuka siku moja mama mkwe alivuka mipaka ya kuongea na kunichana live kwa kuniambia kuwa. "Wewe Zamda, unajaza tu choo cha nyumba ya mwanangu Brown na kumfilisi bila kumpa faida yoyote, mwanamke huna mayai ya kubeba mimba ulishayakaangia chipsi kwenye umalay wako, kwa tamaa zako " Alisema mama mkwe akimaanisha kwamba😒
0 Comments