
ya wazaz wake pamoja na Bryan. "Keki tutakayotumia iko njiani, akasema Brian mara baada ya Mabel kumuuliza. "OMG! nilisikia kaka yangu analeta mpenzi wake leo na siwezi kusubiri kumuona, akasema Mabel **** Alex Alikaa chumbani kwake huku Linda akibadilisha nguo chumba cha kubadilishia nguo, Linda alitoka akiwa amevalia gauni fupi jekundu ambalo lilimchonga vyema na Alex akatabasamu kishetani. "Kwanini amevaa gauni jekundu na fupi ? Hajui kuwa nguo nyekundu inatamanisha? , akawaza Alex Kisha akamsogelea Linda "Oh mpenzi wangu, mimi nimekutaman tayari, "No no no si wakati huu Argh,aliwaza Alex maana alijikuta amemtaman sana Linda. Akaanza kumsogelea Linda , huku
0 Comments