
Basi tulilala kweli kwenye gari, asubuhi na mapema tuliwahi ile foleni tukawa wa kwanza kuingia yule babu alivyotuona akaanza kucheka akasema mbona mmenikazania sana vijana mnadhani mi natania eeeh?? Alex akamwambia tunajua unaweza kutusaidia babu tunakuomba sana utusaidie , akasema siwezi kijana embu ondokeni huyo mgonjwa wenu anaweza kukaa naweza mfanya akafa hapa hapa kwahiyo ondokeni Niliogopa kufa tena wakati nimeanza kupata matumaini ya kupona , inno akamwambia alex tuondoke alex alikuwa mbishi kama alitaka kupanic lakini inno alimzuia Tulikaa ndani ya gari hapo wanajadili jinsi ya kufanya muda huo kama mungu alipiga simu zakia Alex aliweka sauti ili wote
0 Comments